Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
[emoji15][emoji15][emoji15]
Hapo tupo sawa, mimi nilitaka kumvua vyeo bwana simba kwamba sio chochote ni kiki na sauti lake tu ila wababe wapo[emoji16]Sasa mada haikuhusu tiger, maana yeye ni mziki tofauti, ilikua mtanange wa chui vs crocodile.
Tiger hawapo Africa ila wangekuwepo sidhani kama wangemudu ugomvi na Nile crocodile
![]()
Huu ujinga upo maguroup ya fecebook
Inaelekea huyu jamaa anampelekea moto vizuri sana huyu mrembo....soon jamaa atapata warembo wengi wakuwagegeda
[emoji15][emoji15][emoji15]
View attachment 2119240
Kabisa yaniInaelekea huyu jamaa anampelekea moto vizuri sana huyu mrembo....soon jamaa atapata warembo wengi wakuwagegeda
Maana wadada watakuwa na curiosity...anampa nini mkewe mpaka bidada anatengenez bangoKabisa yani
Hii discussion ingenoga kweli kama tungeihamishia hukuChui hana lolote kwa mamba, huyo hapo kamkamata alligator (sijui Kiswahili chake).....
Mamba ni shughuli nyingine bana...ona hapa, na uzingatie huyu ni mamba bado mchanga.
![]()