Hii Mwakaleli nn?
Huyo sio chui huyo ni cheetah.Chui hana lolote kwa mamba, huyo hapo kamkamata alligator (sijui Kiswahili chake).....
Mamba ni shughuli nyingine bana...ona hapa, na uzingatie huyu ni mamba bado mchanga.
![]()
Huyo sio chui huyo ni cheetah.
Chuo hata kama akikamatwa ila mechi sio nyepesi hivyo unless awe chui mdogo au mamba mkubwa sana.
Chui ni mkubwa kuliko simba, weight ya chui inafika mpaka kg 300+
Chui ni mnyama wa pili kuwa na strong bite akiongozwa na jaguar
Simba akisimama man to man na huyo tiger bas simba atagalagazwa vizuri sana. Kitu kinacho wabeba simba ni umoja wao huwa wanakaa kwenye makundi kwa hivyo ni ngumu sana kuwavamia.
Hao tiger ni adimu sana almost hawapo africa katika mbuga labda zoo tu. Ila waulize watu wa asia wanajua balaa lake
Ni kweli nimechanganya, naomba popote kwenye neno chui ulireplace na tigerMbona uachanganya bro, hebu soma ulichoandika taratibu kisha urekebishe, maana mara unaongea kuhusu chui unachanganya na tiger, lini chui akawa mkubwa kuliko simba....ha ha ha umejikanganya sana.
Nguvu hiyo wanayo basi....wao wenyewe wakati huo utamu umeshawalegeza
Ni kweli nimechanganya, naomba popote kwenye neno chui ulireplace na tiger