Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Mkuu mchana na usiku huwa panakuwa tofauti miji mingi sana.Last week nilipita Sumbawanga for the first time,nilivyotegemea kutakuwa nitofauti kabisa.....pale Mjini pako vizuri tofauti na mikoa kadhaa niliyopita......View attachment 2107452
Huyu kaona hali zote za maisha..mbingu na moto( joto) ya duniani hii.
This kind of hatred [emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]. Huruma ya nini kwa dada wa taifa?
View attachment 2107744
Njoo!Njaa inaniuma
Mwanaume wa Dar hoi. He is totally out of it [emoji16][emoji16]
Kula kitimoto na kwenda Casino kucheza kamari.Alikushawishi dhambi gani??
Ankali shikamoo[emoji41]
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Nishashiba sasa[emoji7]
Ijumaa Mubarak
Fanya hivyo ankali tuone ukweli [emoji23][emoji23][emoji23]Nitakulidhisha na vitendo uamini