The living dreamDream big..View attachment 2107415
Kweli kabisa......Kila familia ina mtu anakula kama kiwavi
Sisi watoto hatuwezi kuelewa hiyo after
Ankali
Absolutely......Can come true
Utamaduni wa uingeleza,hawana extended family........hakuna baba mdogo Wala mkubwa hao wote ni anti na anko
Imetengenezwa tu hiyo mkuuZina nini?
Weka chanzo cha habari, tukasome
Saizi Kuna mauaji ya visa vya kijinga jinga sana