whiteskunk
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 3,928
- 9,448
[emoji16]
Kenya ile ya magwiji wa kusakata soka.
Yaani magharibi wanakopatikana wajaluo na Waluhya.
Makabila mawili yanayoin'arisha Kenya kwenye mchezo wa Soka.
Tuambie Onyango ni baba, babu au mvulana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji114][emoji114]View attachment 2106818
Aiseee leo nimecheka mwili wote hauna nguvu
Nilijua tuu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Halooooo !!!
View attachment 2107779
Hahahahaha.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na kwa taarifa yako, mademu huwapenda sana hao wenye sura ngumu wa kutokea hiyo mikoa, dada zetu wengi wameolewa huko...
NishakujaNjoo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe nawe khaa! Inaonekana ushakulaKula kitimoto na kwenda Casino kucheza kamari.
Nikamfukuzilia mbali ankali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Fanya hivyo ankali tuone ukweli [emoji23][emoji23][emoji23]
Supa dupa[emoji41]Halooooo !!!
View attachment 2107779