ukiwa na paka kama huyu bora uumpe sumu ya panyaPaka wanguView attachment 2107716
Mliwakubali wenyewe, acheni waje naoNini tena? Mnataka watoto wawaache wapi kama hawana mtu wa kuwaangalia?
View attachment 2106923
Alikushawishi dhambi gani??Fikiria unapata mwenza anakuingiza kwenye uraibu wa kula Kitimoto, kunywa KVant, Kuvuta Bange, Kwenda Casino, Kuvuta unga, kula/kuliwa 0713.
Bora ubaki mwenyewe View attachment 2107704

Nilidhishe zaidi ili niamini.Umeridhika![]()
Hana sifa kuongoza hiyo wizara
Nitakulidhisha na vitendo uaminiNilidhishe zaidi ili niamini.
Maana maneno matupu pasi na vitendo ni bure tu Ankali
Threesome maana yake nini?3some loading?
View attachment 2107644
Kenya ile ya magwiji wa kusakata soka.Inategemea na Kenya upande gani, Pwani, mikoani au hata visiwani.....
sura ya huyo paka inatosha kumuua huyo panyaHahahaha.. Halafu panya ale nini sasa


. Huruma ya nini kwa dada wa taifa?

