Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

5fc62f828699472b9f61f1f31a2c3226.jpg
 
Waheshimiwa wakiingia mjengoni. Kwetu sisi wataalamu wa lugha ya picha, kuna mheshimiwa mmoja hapa amevutiwa sana na kitu fulani [emoji16][emoji16]
View attachment 2106955
Fahali ya macho.
Kuna vitu mwanaume huwa apitwii,haya ni moja ya maua tuliletewa tuyaangalie,tuyatathini,tuyaguseee na kuyamiliki na ukiweza vunja mifupa....
We muone hapo Mzee anajichekeshaa
 
Fahali ya macho.
Kuna vitu mwanaume huwa apitwii,haya ni moja ya maua tuliletewa tuyaangalie,tuyatathini,tuyaguseee na kuyamiliki na ukiweza vunja mifupa....
We muone hapo Mzee anajichekeshaa
Kwa mwanamke kweli Muumba Alituweza wanaume dah! Sifa zibakie na Yeye daima [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Kaugonjwa kangu akhaa wallahi.... Zhongtong moja matata hii [emoji39][emoji39]
Na wewe umo kwenye udereva wa ma Yutong? Mimi nimezeeka yameanza kunielemea. Yaani nikitoka kwenye mechi mwili wote nyang'anyang'a mbavu na kifua vinauma. Kuna hatari ya kuhamia kwenye vitz au vi Corolla aisee [emoji24][emoji24][emoji24]
Tumblr_l_1191107436728437.jpg
 
Back
Top Bottom