Mambo zenu wakuu? Tutakaoibuka valentine single and we never regret it. Big up to us. Japo kiugumuugumu kwangu aisee,..maana upweke nao nongwa lakin unakuwa umekwepa vingi viumizavyo. Yes am single mom again. (Kiukweli kinachoniponza ni hasira nikigundua kitu bas nareact and no retreat no...