Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

.
20220125_182954.jpg
 
Niliambiwa na mtu tukutane eneo fulani muda fulani. Muda ulipofika nikaenda kabl yeye hajfkka, si nikaamua nipumzike kwenye eneo bar jirani.

Ile kufik akaniita stend akaniuliza "kwani nilikwambia unisubiri bar?" Nikamjibu tu, nimeingia kw pesa yangu na kikao kikaishia hapo. Niliona amenidharau sana tena mbele za watu.
Kama unaclear mwenyewe hapo big up sana mkuu, kuna siku nilikuwa nakutana na mtu kutokana nayeye alikuwa amewahi eneo la tukio nkamwambia basi anywe hata soda nikija hapo nalipa halafu kipindi hiyo nimefulia majanga kibao, nikakuta ameagiza na chipsi yai na samaki juu nilimletea noma pale mpaka jamaa wa chipsi akawa ana wasiwasi kama atalipwa ikabidi aingilie kati kunibembeleza
 
Back
Top Bottom