Pole sana mkuu, unakuta na mfukoni hukuwa na bajeti ya kfc kabisa[emoji16]Imewahi nikuta.
Tuombe radhi mkuu [emoji51][emoji51][emoji51]Wasukuma mta staarabika lini?View attachment 2095048
Jibu lako sasa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]We ulitaka tufanyeje? Tuendelee kusikiliza stori zisizo na kichwa wala miguu?
View attachment 2095254