martinezstavo
JF-Expert Member
- Jun 30, 2020
- 735
- 1,560
Haka unakasajili kama bajaji
Haka unakasajili kama bajaji
Njombe Mgendera? Hunitakii mema? Naweza kuchezea za uso anytimeNahisi ni kihehe. Japo nilitamani kiwe cha kule Njombe kwa rafiki yako K![]()


Kuna nini February 14th?![]()



Njombe Mgendera? Hunitakii mema? Naweza kuchezea za uso anytime![]()
We na Baba Mchungaji mna mipango tayari? Ni Nguzo Camp au visiwani?Hako hako. Ngoja kaje![]()
Explain
Matunzo kawaida. Ndo nature tuliyojijengea duniani.Ah wee mwanamke hapendi bwana sema mwanamke akikutamani na hiyo mpka upendwe ujue kashaona hapa matunzo yapo....
Kabisa na nature yetu wanaume ni kula mbususuMatunzo kawaida. Ndo nature tuliyojijengea duniani.
Ahahaha baby wake anatakiwa ajiongeze apo.Swali moja majibu meengii,daaah wanawake hawa
Kwahiyo ujumbe unatumwa kwake naye awe anatoa toa hela bila kuombwa.
Siyo mbaya, kutoa bila kuombwa ni vizuri pia
Utalipia mwenyeweNimeshaagiza![]()

Mpaka usubiri akupende!!!
Aaah wapi, unajimwaga kuomba tu, mapenzi yatajulikana huko mbele![]()


icho ndo kihere here. Subiri upewe kwa hiari yakeNa sisi si tunafaidi mara 2 lknKabisa na nature yetu wanaume ni kula mbususu



Kuhusu kufaidi mara mbili sidhani maana malalamiko yamekuwa mengi kwamba vijana chips yai zimewafanya washindwe kuwapa raha so labd mnafaidika sehemu moja tuuNa sisi si tunafaidi mara 2 lkn![]()
Mbona ghafla hivyo
We na Baba Mchungaji mna mipango tayari? Ni Nguzo Camp au visiwani?
Mungu Akipenda nitawajoin. Ni lile kanisa lenu kuu la Uyole ama?Tutakuwa tu kanisani tukimtazamia Bwana


