Kila kitu ni kile kile ila nondo na mabati ndio vimeongezwa[emoji16]Na injini ndo ile ile inayokuja na gari au wameeka ingine[emoji16][emoji16]watanzania waharibifu kweli
Acha tu samaki aungue aisee!
'Na injini ndo ile ile inayokuja na gari au wameeka ingine[emoji16][emoji16]watanzania waharibifu kweli
Iko wapi hii gari [emoji23][emoji23][emoji23]
Dizain mgogo