MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 33,569
- 53,582
Hili hunitendekea leo niko mtu mzima kabisa, nasaka kitu tena kwa ukali halafu mke anakuja na kuonyesha kipo hapo hapo ambapo nimepapitia mara kumi.
Nimebonyeza mara mbili ndio niashtuka [emoji1787][emoji1787]Chizi moja aliiba simu dukani, akakamatwa, lakini mwenye duka akaamua kumuachia simu maana alijua chizi hawezi kutumia smartphone ile ya macho matatu.
Na kweli cha kuchekesha chizi si kaanza kubonyeza simu, kabonyeza we kabonyeza we kabonyeza we .... Read more
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unashtuka na kugundua kuwa na wewe ni chiziNimebonyeza mara mbili ndio niashtuka [emoji1787][emoji1787]
Utamaduni wa taifa, taifa gani india au bongo?Na Professor Issa Shivji
Kwani uchifu ni utamaduni wetu? Makabila mengi hawakuwa na wachifu. Waliwekwa na wakoloni kwa maslahi yao (km Wazanaki). Uchifu ulipigwa marufuku na sheria mnamo 1962. Machifu waliyokuwepo (km Adam Sapi, Fundikira, Kunambi nk) waliingizwa Serikalini katika nyadhifa mbalimbali.
Ufutaji wa uchifu ulitusaidia sana kujenga umoja wa kitaifa.Nchi zingine Za Afrika (kmNigeria, Ghana nk) wamepata shida kujenga umoja wa kitaifa. Sababu mojawapo ni machifu kulinda himaya zao kwa kukuuza ukabila badala ya utaifa. Tunachotakiwa kusisitiza ni utamaduni wa kitaifa.
View attachment 2091091
Unajiona mtz halisi kumbe mababu zako wametokea Burundi.Utamaduni wa taifa, taifa gani india au bongo?
Kaka nilishakwambia mie najua kabisa njia yangu ni ya motoni so i have already made peace with that....wacha tugegede mbususu[emoji16] [emoji16]mzeeee, pepo utaisikia tu kwenye vitabu!
[emoji16] [emoji16] nakubali mkuu!Kaka nilishakwambia mie najua kabisa njia yangu ni ya motoni so i have already made peace with that....wacha tugegede mbususu
Kivuli kifupi kinene adobe after effect imekataa...