Tunawaona kama wasaka fursa na migegedoHivi wanatuonaje hawa!
Tunawaona kama wasaka fursa na migegedoHivi wanatuonaje hawa!
HahahahaNyengine hio View attachment 2071559
Kama siyo babu vileYaani ugeuke halafu ukute limtako linabingirika dah rahaaaaa hata kama huna pesa mfukoni unasahau kwa muda aisee. Tena iwe yutong iliyofungasha semi trela la kueleweka weeeh
View attachment 2071431

Kumbe!! Basi sawa.Tunawaona kama wasaka fursa na migegedo
Sijajua kama Ni kweli lkn ninacho kumbuka alitabir kuhusu rais mwanamke LKN suala la upinzan kuchukua nchi mh Sina imani nalo kama alisema
Hana jipya kazi kudemka ahamasishe wananch wachanje corona atutolee kisabengoWaziri wa wizara mpya ya mambo ya kiroho na utalii
View attachment 2070707
Haya ndio alitakiwa ayaongelee maana ndio yanayokuza deni, sio kuleta unafiki wake. Nchi inatumia karibia 65% ya bajeti kwenye matumizi tu halafu anabwabwaja ujinga.Tajiri tayari huyu!
View attachment 2071430