LuisMkinga
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 3,365
- 6,477
Then anataka umsaidie hapo hapo. Aisee hivi viumbe hivi
Then anataka umsaidie hapo hapo. Aisee hivi viumbe hivi
Ile chupa haifai hata kuangalia [emoji16]tskConnection ya Mirinda kama ilikupita, basi hii hapa! [emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2070592
TL Ubelgiji moja hiyo [emoji16][emoji16]Akiwa mkubwa sijui atakuwa nani huyu dogoView attachment 2070237
Wanapigana stop wenyewe kwa wenyewe? [emoji15][emoji15][emoji15]
Waziri wa wizara mpya ya mambo ya kiroho na utalii
Unachokiona ndo unachokitenda/kiandika unachokifanya kinabalu kwenye ubongo. Baadaye itakuwa sehemu ya maisha yako.
Muda sio mrefu ungepigwa!! Usikute dume hilo!
12 years bado niwe nayo kwenye simu! Ukiskia uchawi ndio huo!!Nitumie huu mchongo pm mkuu niuchek
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] which car?? Utajiju
Huyu dada kaolewa? Nakumbuka kuna kipindi alikimbiwa na bwana arusiPata shida uwajue "marafiki" zako!
View attachment 2070074
NYAMA imeshikilia nyamaPande la nyama. Kamefurahiii !!!
View attachment 2070103
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii haina uhalisia kabisaKama anafanya mdogo wangu mambo haya, namvunjilia mbali miguuView attachment 2070079
Aisee hata sijui. Nimeona tu huko naye anamnanga Mgogo wetu kutoka Galilaya.Huyu dada kaolewa? Nakumbuka kuna kipindi alikimbiwa na bwana arusi
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Badala ya kupiga kwenye ming'ombe mxiiiuu[emoji91][emoji91][emoji91][emoji123][emoji123][emoji123]
View attachment 2070094
Hata sijui, ilifika tu siku ya harusi bwana hapatikani kokote. Wanazengo wanadai alikuwa na mke alitaka tu kumdhulumu muheshimiwa michangoAisee hata sijui. Nimeona tu huko naye anamnanga Mgogo wetu kutoka Galilaya.
Kwa nini alikimbiwa na Bwana harusi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]12 years bado niwe nayo kwenye simu! Ukiskia uchawi ndio huo!!
Amekusikia ameamua/amelazimishwa kukaa pembeniWaziri wa wizara mpya ya mambo ya kiroho na utalii
View attachment 2070707