Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

IMG_1641472684739.jpg
 
Ya Wachina nayajua ... huwa yamerundikana sehemu moja kama fungu la nyanya mbovu na hayana yale mabunye mabunye...halafu mara nyingi tupaja twembambaaa....

Ila afadhali la Mchina kuliko flat screen [emoji16][emoji123]
Ila afadhali la Mchina kuliko flat screen [emoji16][emoji123][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom