Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Tuvimbaumbau twingine bwana dah! Tunaweza hata kukusahaulisha ma Yutong kwa muda [emoji16][emoji16][emoji16][emoji91][emoji91][emoji91]
Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]Tanzania sihamiView attachment 2070006
Nilienda kuongea neno na mh kipaza sauti.Vipi nawe umekwama Galilaya ama?
Mitandaoni huko zimeenea eti keshaachia ngazi!Nilienda kuongea neno na mh kipaza sauti.
Nimeshampa mbinu za kukabiliana na sintofahamu zilizo mbele yake
Watu waache urongo [emoji23][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
View attachment 2070055
Kila chenye mwanzo, kina mwishoMitandaoni huko zimeenea eti keshaachia ngazi!
Mwendo wa kushambuliana kila kona.Pata shida uwajue "marafiki" zako!
View attachment 2070074
Sema tu wanasiasa wetu hawa dah! Pengine huwa wanakuwa na madeni makubwa ndo maana wanang'ang'ania hivi vyeo utafikiri walizaliwa navyo!Kila chenye mwanzo, kina mwisho