Vipi nawe umekwama Galilaya ama?Natumai nyote mko njema
Bro niaje[emoji870]Vijana wa jangwani wana mambo[emoji16][emoji16]
Ya zamani sana hii...enzi za Rahatupu...mama anapelekewa moto huku kabeba mwanaye mgongoni...vichakaniConnection mpy in town au?
[emoji23][emoji23][emoji23]Nineshaanza kununua matairi.[emoji848][emoji848][emoji848]View attachment 2069435
Duuu[emoji849]Yamekuwa hayo tena? [emoji15][emoji15][emoji15]
View attachment 2069766
Wabunge wa Covid 19. Hawajui kuwa sabufa anaweza kuondoka nao kwenda Galilaya....Duuu[emoji849]
Hata nyie mliopitia mlango wa nyuma
Hahahaha [emoji23][emoji23]
Aiseee...Wanawake wote ambao hamjaolewa hamieni kwa Wadinka mkale mema ya nchi
View attachment 2069780