Darcyy
JF-Expert Member
- Oct 26, 2021
- 2,432
- 9,756
Lkn usijue, ukijua mi nakwambia ni lazima utaumia tuNdio ukweli nyie lazima utatongozwa ni kitu ambacho its out of my control sasa unaumiza kichwa cha nini....wee muachie uhuru wake timiza majukumu yako kama kidume wake basi.




