Sidhani banaMbona kama ni tu mapacha?
[emoji23][emoji23][emoji23]Tuma kwa watu kumi [emoji38][emoji38][emoji38]View attachment 2067233
mzabzab naona anachekaa kwa mbaaaaaliii.. hiyo ni karanga mkuu ( alikuwa anasaga karanga kwa kutumia chupa)
Hahaha[emoji23]Ilitumbukizwa mtaroni imetoka na tope kibao, ndiyo maana nakunywa kahawa tu mimi, sipendagi huu upuuzi
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app