Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

...
FB_IMG_1641191758902.jpg
 
Kama sodoma zamani,
Wanadamu huwawezi,
Wako wapi wayabeshi,
Na wale pia wanefili.

Naikumbuka zamani,
Ya Ruthu yenye thamani,
Mke kugeuka chumvi,
Sodoma kwa kuthamini.

Yuko wapi yezebeli,
Mwanamke wa kishenzi,
Mwenye roho ya unzinzi,
Bado anatenda kazi.

Sodoma ile zamani,
Enzi baba wa imani,
Ibrahimu rafiki,
Wake Mungu mwenyezi.

Dhambi ile ya uzinzi,
Pamoja na urawiti,
Duniani ilizidi,
Yakawa maangamizi.

Tango bamia na ndizi,
Mlisha feli zamani,
Chupa za soda mihindi,
Naona huo uchizi.

Kizazi cha yezebeli,
Umetawala uzinzi,
Ni chukizo kwa Mwenyezi,
Kitapigwa kiberiti.

Job Masebo
(Mbyasho kitukuu)
+255755899953.
Screenshot_20220103-174835.jpg
 
Back
Top Bottom