Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,378
2.What's is importanta here is love usafi ni weweView attachment 2068687View attachment 2068688
HahahaHata sisi wa backbenchers tulikuwa tunaonekana hamnazo enzi zileeeView attachment 2068840
Sasa Mzee,Uzi ni Visa na Matukio ktk picha,lkn hapa Umeweka picha ya "YESU MWENYE HURUMA",kwa Imani yangu picha hii tunaiheshimu sana.Hivyo Sijapenda kuiweka hapa.Kiimani sijajisikia vizuri.Hivyo uiondoe.Picha ina heshima kubwa Sana.
Hii ni kituko Yesu haji hivi.. Yesu tunaye muda wote, mahali pote Ila nazingatia hisia zako naiondoaSasa Mzee,Uzi ni Visa na Matukio ktk picha,lkn hapa Umeweka picha ya "YESU MWENYE HURUMA",kwa Imani yangu picha hii tunaiheshimu sana.Hivyo Sijapenda kuiweka hapa.Kiimani sijajisikia vizuri.Hivyo uiondoe.Picha ina heshima kubwa Sana.
Yesu aliwahi kupiga picha? Nionyesheni na mimi picha yakeSasa Mzee,Uzi ni Visa na Matukio ktk picha,lkn hapa Umeweka picha ya "YESU MWENYE HURUMA",kwa Imani yangu picha hii tunaiheshimu sana.Hivyo Sijapenda kuiweka hapa.Kiimani sijajisikia vizuri.Hivyo uiondoe.Picha ina heshima kubwa Sana.
Hilo geto ukiambiwa ulale na hayo mashuka utapata kila aina ya ugonjwa wa ngozi1What's is importanta here is love usafi ni weweView attachment 2068684View attachment 2068685

