Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

[emoji2960]
1638817353114.jpg
 
Nadharia za kizamani hizo.
Kama wenyewe wanajipendekeza kuleta pesa tutaachaje.
Mataifa kibao yanakopa na kusaidiwa itakuwa sisi tulioteswa na Azimio la Arusha!![emoji26][emoji15][emoji15]

Yeye mwenyewe amekaa miaka 24 madarakani ametuachia ufukara wa kutisha.
Viwanda vyote alivyotaifisha ameviacha vikiwa mufirisi.
 
Back
Top Bottom