Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,585
- 12,444
Kama mdomo na pua viko hivi it's ok kuzima taa [emoji23]
List ya michongo [emoji16][emoji16][emoji16]Kenya, Uganda, South Africa zimeingizwa ki magumashi hapo.
Nchi tatu za Afrika mashariki, Kenya Uganda na Tanzania hazipishani sana.
Labda utafiti wao kuhusu Tanzania waliufanyia mikoa ya Kigoma, Katavi, Rukwa, Mbeya, Njombe.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hiyo kumbe huku kwetu hamna kitu kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2035093
Kila mtu ni mweupe,
Ni maji tu unayokunywaView attachment 2035263
Amuige BashiruMadaraka matamu aisee, huyu mwamba tangu amepoteza cheo chake kwenye CCM anamwaga povu mpaka anatia huruma.
Machungu anayopitia sasa kwa kupoteza cheo chake ndiyo ambayo wenzake nao waliyahisi.
Naye aanzishe mtandao wake wa Kigogo 2014 ili.atukane mafichoni, maana sasa anajiabisha tu.