Tatizo la wanasiasa wengi...[emoji116][emoji116][emoji116]Yaan kama anasema million 35 wamepata ajira inamaanisha ni nusu ya population ya watanzania duh ***** kwa hiyo mpaka walioko shule tiyar wanaajira....
Njaa hizi mbaya ikihamia kichwani unatoa takwimu na ugoro juu
Tatizo la wanasiasa wengi...[emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 2035308
Kuanzia sasa muanze kuniita Dr. SYB, Ph.D [emoji16][emoji16][emoji123]Mtumishi nimecheka sana hiyo Avatar yako daah
Kuanzia sasa muanze kuniita Dr. SYB, Ph.D [emoji16][emoji16][emoji123]
View attachment 2035323
Usiku sana sasa mbona hujalala mtumishi? Mzee hayupo au kuna katoto kanasumbua?Kwa kweli Dr, anayeona umependelewa aje akuue tu; yaani kofia imekaa mwake hatari
Usiku sana sasa mbona hujalala mtumishi? Mzee hayupo au kuna katoto kanasumbua?
Namuunga mkono