Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Screenshot_20211205-205037_1.jpg
 
Madaraka matamu aisee, huyu mwamba tangu amepoteza cheo chake kwenye CCM anamwaga povu mpaka anatia huruma.

Machungu anayopitia sasa kwa kupoteza cheo chake ndiyo ambayo wenzake nao waliyahisi.

Naye aanzishe mtandao wake wa Kigogo 2014 ili.atukane mafichoni, maana sasa anajiabisha tu.
 
Back
Top Bottom