Ndiyo tumeshafsiri sasa, wewe tuache tuendelee na tafsiri yetu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unabishaaaaa nianze mafekeche hapa kwa mujibu wa hayo maelezo???
Uko wapi Michelle? Naomba nije hapo pulizi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Nacheza huku ninajiangalia kwa kiooo nkiwa uchi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakenya bwana. Nina binamu zangu wakenya Hadi Leo sijazoea salamu zao...Binguni mtapaskia tu....
Mkuu, unaruhusiwa kuitafuta hio 'Aya' usome tafsiri yake, utaipata kwa kiswahili fasaha. Kwenye 'aya' zake zote hutaona inataja kumpa mtu hela kwa kutumia kuku wala sindano au hata kuokota!. Hizo ni 'Shirki' kama shirki nyingine watu wanazifanya kwa mgongo wa vitabu vitakatifu. Epuka shirki!.
Una bahati picha zako kwenye Tecno yangu huwa hazionekani...Youtong kwenye daraja la mbaoView attachment 2031164
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unaogopa nini ngosha?Mkuu, acha kusoma, hata kukishika tu hicho kitabu nakiogopa....
Kifungu gani kinasema hiyo ni dhambi?
Just asking[emoji2369][emoji2369]
[emoji851][emoji851][emoji851]Aseee! Yan had hps wanakuwekea [emoji15], hv n kweli.........