Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kazi ipo...

Huwa sielewi sura ya huo msahafu wenu kuhusishwa na haya mambo. Kuna nini?

Mkuu, unaruhusiwa kuitafuta hio 'Aya' usome tafsiri yake, utaipata kwa kiswahili fasaha. Kwenye 'aya' zake zote hutaona inataja kumpa mtu hela kwa kutumia kuku wala sindano au hata kuokota!. Hizo ni 'Shirki' kama shirki nyingine watu wanazifanya kwa mgongo wa vitabu vitakatifu. Epuka shirki!.
 
Kwa wale wote mnaoweka avator ya BANNED kiama chenu kipo karibu
Screenshot_20211124-185006.jpg
 
Back
Top Bottom