[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]You made my weekend Shimba[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1534][emoji323][emoji323][emoji322][emoji323]
Pole sana mpendwa. Mungu bado ana makusudi na wewe. Katende yampendezayo [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Amen, namshukuru Mungu hata sasa napumua.....mana juz nlipata ajali mbaya saana lkn nashukuru Mungu naendelea vzur. Gar imeharbika mnooo(me n dereva wa malori) lkn nashukuru Mungu nmetoka salama ingawa nina maumivu ya hapa na pale lkn nitakuwa sawa.