moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 158,236
- 775,716
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Walevi wanetililika kweli kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Walevi wanetililika kweli kweli
Hahahaha [emoji23][emoji23][emoji23]Kula hela ya mwanamke ni lazima uwe na taimingi[emoji23][emoji23][emoji23]
Bado hajampata anayemtaka?
Viongozi wa hiyo nchi ni kama walozi.[emoji849][emoji849][emoji849]
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseee, ukisikia Amani na Utulivu ndiyo huo sasa.Kwenye Defender utaanzaje [emoji16]View attachment 2025143
Tuliokolewa kimiujiza aiseeIlibakia kidogo tu tufike huku
Aiseeeeee[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Ushawahi kupigwa hadi ukachakaa.View attachment 2021285
Eeh kumbe ndio mambo yake haya! Yani huyu ni Bibi ya mtu[emoji23][emoji23]Dogo ana mwili mlegevu View attachment 2025290
Ahsante mzee wa yutong,shusha tutani hapo[emoji41]Mungu Asante [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Endelea kunilinda mimi pamoja na wapendwa wangu. Na memba wote wa uzi huu uwalinde Baba ili tuendelee kucheka na kufurahi kama ndugu japo hatujuani [emoji1545][emoji1545][emoji1545]View attachment 2024800
Ni kweli alivyokuwaga na sasa ni tofauti, lakini hayo manyama nyama kwenye makwapa ni shida aisee[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona hapo kawa fidodido?
Pole Sana,utakuwa sawaAmen, namshukuru Mungu hata sasa napumua.....mana juz nlipata ajali mbaya saana lkn nashukuru Mungu naendelea vzur. Gar imeharbika mnooo(me n dereva wa malori) lkn nashukuru Mungu nmetoka salama ingawa nina maumivu ya hapa na pale lkn nitakuwa sawa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],[emoji74]View attachment 2025226
Ankali umeshakula?Yanga yaachana na Kabwili kwa kosa la "Ulegevu wa mwili"View attachment 2024867View attachment 2024868
Ukiona mpaka Askofu anadanganya jua Dunia inakaribia mwisho[emoji15][emoji15][emoji15]