Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Mjukuu unaniachaga wapi?"Kati ya watu wanaokula raha hapa duniani mimi ni mojawapo"...
Dunia hii we acha tu....
Tuishi kwa upendo. Tutende haki na tusionee wenzetu hata kama tukiwa na madaraka makubwa na pesa kiasi gani [emoji1545]
View attachment 2025442
Asante kwa kunitetea mkuu. Nimeamua kuhamia kwa tuvimbaumbau twenye maumbo ya hivi. Labda nitapumzishwa na zali za mayutong [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2025426
Dar ni hakufahi kabisa[emoji41],mnakupendea nini?Akali hapa hakuna dogo.
Leo hapa imenyesha mvua kidogo tu lakini mafuriko tayari.
Ndiyo maana tunahurumiwa[emoji23][emoji23] View attachment 2025428
Tulia. Yuko Immigration anashughulikia visa za kwenda Birmingham America
Ankali Nyumbani ni nyumbani, hata kama kichakani[emoji16][emoji16]Dar ni hakufahi kabisa[emoji41],mnakupendea nini?
Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
Karibu kwetu simiyu[emoji41]Ankali Nyumbani ni nyumbani, hata kama kichakani[emoji16][emoji16]
Ukishiba dona na maharage utawasumbua sana wenzako.[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Kituko !!!
View attachment 2025448
Simiyu !!?
Ankali shepu ya kisukuma ipoje?Simiyu !!?
Mbona huna shepu ya kisukuma ankali[emoji23]