Michelle98
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 673
- 2,066
........muoneni mzee wa mila 😎Aliyewaambia mpende!
View attachment 2019137
........muoneni mzee wa mila 😎Aliyewaambia mpende!
View attachment 2019137
[emoji2][emoji2] sasa je..............haikuwa rahis hakika, kapata kajibwa anakoweza kukahimili [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji2]ni Kazi kweli kweli. Kasahau maumivu yote ya kutendwa[emoji870][emoji870][emoji870]
View attachment 2019082
Ahahah unaweza jikuta unarudi tena jikoniAu ni limfupa tu dah!
........njaa ikizd nakulaga watu😎[emoji16][emoji16][emoji16] Bagosha!
View attachment 2019152
Tusiovaa chupi tucoment wap............
Ni mkono na mkono. Mi huwa nasuka lkn sio ziume kias icho. [emoji2][emoji2]. Wasusi wengine wakikusika ni lazima uzimwagie maji usiku huo huoSijawahi suka rasta hadi uzee huu[emoji41]
[emoji1787][emoji1787] si bora bilinganya nitajikaza nitakula. Lkn sio nyanya chungu, sijawah kuzipendaga maishaniAu libiringanya[emoji3]
[emoji2] mi nazipenda sn. Na huwa natokelezea na vipili pili vyng iviWeee mi sahiv habar za kuanza kukomazana ubongo sitak nabana natural hair zangu natoka[emoji16]
Kikubwa kujikubali tu[emoji2] mi nazipenda sn. Na huwa natokelezea na vipili pili vyng ivi
Iskute kaepushiwa jambo lakn binadamu tu wabsh mnooo, hata me ningehairsha ilo tukio kwanza
[emoji2][emoji119] kweli hakiko sawa
Bora iphone 12 kuna wale wa chips yai n 2500 na fanta orange 3000 tu imekuleta kwny dunia[emoji848][emoji848][emoji848]View attachment 2019422
Hv huyu babu anakuwaga chenga nn 🤔[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2019446