Kikiishiwa mafuta unashuka halafu unakifungia mgongoni halafu unaendelea na safariKi gari kinauzwa laki mbili tu, kama hauna parking unaweza park hata sebuleni View attachment 2019001
Au ni limfupa tu dah!
Sijawahi suka rasta hadi uzee huu

Au libiringanya

Weee mi sahiv habar za kuanza kukomazana ubongo sitak nabana natural hair zangu natoka

Refarii amefika nyumbani salamaView attachment 2018452
Pengine watapumua...au yanaweza kuwa yale yale ya Aseno na Mzee Wenga ...Man united.
Mambo bado magumuView attachment 2018416