moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 158,327
- 775,818
Aiseeeee[emoji24][emoji24][emoji24][emoji205][emoji205][emoji205]
View attachment 2016009
Huyu mkono wa kulia ndio yabasa? [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Hivi alikuwa na uwezo wa kuinua ulimi kumzuia yule jamaa.
Jaman sidhani kama kuna binadam mwenye haki ya kumhukum hivi binadam mwenzieUkatili dhidi ya ubinadamu.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Wakisubiri kuchomwa moto.
View attachment 2016288
Na ukute moyo wenyewe wa wizi yakukute mambo mabad
Mbaya zaidi wamempq na kisuMwamba haelewi kauziwa ugali au tonge la ugaliView attachment 2016117