Sipendi Uchawa
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 8,086
- 12,801
Wakati huo betri ndogo za remote haziuzwi hovyo. Hakukua na spika isipokua jack ya earphone. Ukiwa nako hako unaonekana mjanja na unaweza kukula tudem
Wakati huo betri ndogo za remote haziuzwi hovyo. Hakukua na spika isipokua jack ya earphone. Ukiwa nako hako unaonekana mjanja na unaweza kukula tudem
[emoji23][emoji23]Nawaza kea sauti, tukio kama hili lingetokea Tanzania na hasa jijini Dar..
Huyu jamaa angechakaa kinyama[emoji23]
[emoji16][emoji23][emoji23]View attachment 2016299
Picha zilizopostiwa tusiwe tunarudia kupost jaman. Hii picha katoka kupost mshana hapo juu mda si mrefu.
Ukishafika kwa Sangoma ni kama mbuzi machinjioni.Hakuna watu watiifu duniani kama wagonjwa kwa sangoma