Dangote Jr
JF-Expert Member
- Aug 15, 2019
- 5,945
- 8,509
Asa si bora huyo ana watoto wa3 afu kapanga nyumba, kuna jran angu hapa ana watoto wa3 afu kapanga chumba ki1,,,,
Lakn mi naona kla mtu afanye anachopenda maana ukifatilia haya maneno ya motivesheno spika utapata presha



