moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 156,142
- 770,236
Huyu mzee angekuwa msukuma kisha aje atoe maneno haya kwa Wachaga....

Dunia ingesimama
Lakini daaa, kweli mtu kwao.
Wachaga lipeni kodi jamani
Huyu mzee angekuwa msukuma kisha aje atoe maneno haya kwa Wachaga....

Safi sana.
Hicho unachokiona kina thamani hata mbuzi anacho

Watu walikula bata bhana