the_legend
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,612
- 7,117
.
Sio kweli, hakuna hiace kama hii kule asee
Huwaga najiuliza sana hili jamboHivi hao wanawake na wanaume bao tunabiwa wana maagano mabaya kwamba tukitembea nao tunayabeba maagano yao mabaya, hivi hakuna wenye maagano yasio kuwa mabaya?
Kwa hyo kila mwanamke ana agano baya??, Mbna hamzungumzii mazuri??
[emoji28][emoji28][emoji28],huyu msela 'paka' ananivunja mbavu
[emoji23][emoji28][emoji23]wabongo sijui wanafikiriaga nini kutengeneza vitu kama hivi[emoji28][emoji28][emoji28],huyu msela 'paka' ananivunja mbavu
Da!aisee yaani kila kukicha ni vibweka vipya[emoji28][emoji23][emoji28][emoji23]wabongo sijui wanafikiriaga nini kutengeneza vitu kama hivi
Paka mwaka huu wanapata tabu [emoji1787]