Oohh hapana mkuu, mie ni Pwani.Kama ni Kanda ya ziwa, basi itakuwa tulisoma wote shule moja. Maana na mm bweni langu ndio lilikuwa linaitwa hivyo
Kweli naweza nikakumbuka memes za babu[emoji41]Siku nyingine ukiwa kwenye gemu usije ukaanza kuwaza huu utopolo wa memes [emoji16][emoji16][emoji16]
Mmmmmmh[emoji16][emoji16]iView attachment 2003582
Probably she is also an idiot (squared). Dumb and dumber - a match made in heaven![emoji1787][emoji1787] nakuuliza wewe!View attachment 2003603
Kilihusu nini?
You are crossing a line now mjukuu! Let common sense prevail (if that's even possible!) [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1969236
Darlin siku ukija kwangu we kula tu spidi kali kama cherehani ya zigzag wala usiwe na wasiwasi[emoji23][emoji1787]
[emoji41][emoji2440][emoji2440][emoji2440]You are crossing a line now mjukuu! Let common sense prevail (if that's even possible!) [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Mie sina hamu na mwl Ngowi jamani. Hivi kwanini walimu wengi wa hesabu hufundisha kama wanafundisha magenius tupu!! Mie hesabu nilisoma mwisho kidato cha pili.Namba moja 1
mwalimu wa hesabu alikuwa ananiumiza sana kichwa anaandika ubao mzima bila maelezo kama anafundisha ma genius, afu watu wengine sifaaa eti wanaelewa [emoji1787]
,ukimuuliza vipi mwalimu mbona hatujaelewa,anajibu Mtaeleweni tu ninyi daaah!,popote alipo yule Msukuma(Basu) namsalimu kwa jina la jamhuri.
Ilifika wakati ilibidi niwe napishana naye mlangoni anaingia mi natoka
Anauliza ..... Unaenda wapi
Me,kupunga upepo Mwl
Mwl,unaona mi nanuka
Aaaaa sigeuki nyuma.
Mmmmh[emoji848][emoji848][emoji848]Probably she is also an idiot (squared). Dumb and dumber - a match made in heaven!
There is an iconic belief that pretty girls are dumb [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Nimef....You are crossing a line now mjukuu! Let common sense prevail (if that's even possible!) [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Uncle chakula chako kinakusubiriSawa nakuja ankali,nikute na juce ya baridiiii maana hili joto la dar ni balaa[emoji8]
Shimba ya buyenze.
TayariDelete it [emoji860][emoji860][emoji860][emoji860][emoji860][emoji860][emoji860][emoji860]