Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,383
Huowe au huolewe eeeh!?
Walimu wa Kiswahili kazanieni sana matumizi sahihi ya h na irabu za Kiswahili. Siyo Kiingereza kitushinde na Kiswahili pia kha!

yaani sijapenda
,hapa niliogopa