Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,779
- 147,022
YutongHuyu matron wa bi harusi huyu [emoji39][emoji39][emoji39]
View attachment 2002575
YutongHuyu matron wa bi harusi huyu [emoji39][emoji39][emoji39]
View attachment 2002575
Starehe za watu
KujiendekezaNimemuangalia huyu mtoto wakike msumari umenyooka ghafla
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Hahahahah...Achana na vibonge wewe [emoji51][emoji51][emoji51]
View attachment 2002638
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawaondokagi wa kuagwa hivi, na akiondoka hachezi mbali, mlango utagongwa hadi mkatize mseleleko!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee pole sana.Kisa kama hiki kimewahi kunikuta, nilidhamiria kumfunidisha jamaa adabu nikiwa mlevi, wakatusuluhisha, baadaye nikaja kuambiwa ni mtu hatari sana tena usalama wa taifa.
Mtoto kalegea lakini dogo bado analemba, fasta amuwahishe ghetto.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji87][emoji87][emoji87][emoji81][emoji81][emoji81]View attachment 2000653
Wote ni wanaume Caucasians.Unaweza ukanitajia wangapi hapa bila kudesa? Karibu kila teknolojia tunayotumia kwa sasa kwa namna moja au nyingine inatokana na uvumbuzi wa mtu aliye katika picha hii...
View attachment 1997902