Hii mambo inaharibu ndoa nyingi,sasa si angeomba ushauri kablaa?!
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]. Nawatakieni siku ya mibaraka wapendwa [emoji2221][emoji2221][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
View attachment 2002659
Mmh! sema huwezi kuelewaKujiendekeza
Mmmh huendi mbinguniMtoto kalegea lakini dogo bado analemba, fasta amuwahishe ghetto.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mawazo mema kama hayo nisiende mbinguni tena, [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Mmmh huendi mbinguni
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]mjukuu. Sijambo kabisa[emoji120]
Shikamoo babu Asee,unajua kuna muda unavurugwa unatamani hata babu yako angekuwa anakuona[emoji24]
Wewe utaisikia kwa jiranMawazo mema kama hayo nisiende mbinguni tena, [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Alaf walivyowanapenda sifa wanakuamkia mara mbili mbili [emoji23]
[emoji23][emoji23]