Usisahau kwamba kwenye sheria yenye kufuata miiko na haki za kila raia' haya mapungufu unayoyaita vipande yanaweza kubadili kabisa hukumu. Kosa dogo tu kwenye maelezo hufanya asiye haki apewe haki.Nionavyo mimi Mbowe anaweza pigwa miaka ya kutosha watu mkabaki kushangaa.
Hizi habari zinakuja za upande mmoja tu,tena zinaoonesha mapungu ya mashahidi. Hakuna anayeleta habari za mashahidi pindi wanapotoa ushahidi konki.
Ushabiki unaweza sababisha siku ya hukumu watu wasiyaamini masikio yao.
Sidhani kama kwenye ushahidi kinachosemwa ni hivi vipande tu mnavyotuletea mitandaoni.
Tisubiri,muda utaongea.
Usiombe mkawa 8 mnaoshindanishwa.Bila kusahau pesa.View attachment 2001364
Halafu the "ugliest" one in the group ndiyo anakuwa mnoko hatariKiherehere tuu.View attachment 2001573



Umezidisha 20,000....
Kweli nimekubali, wewe ni Financial Services.Ongezea pesa Hadi mlango wa ghetto nazifata zote![]()



Hii kweli kabisa

