Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Bila kusahau pesa.
255789357276_status_23d5af18be26406bb3ca1cca3211ff74.jpg
 
Sierra Leone kuna lorry la mafuta limeanguka watu wameenda kuchota limelipuka na kuuwa watu zaidi ya 90

Sasa habari ni hii na comment za watu kwa Ayo
Eti kumbe hata mambele wana njaa kama sisi [emoji23][emoji23][emoji23]
Jina tu wanafikiri sijui Ugiriki [emoji23]
 
Back
Top Bottom