Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Kuna wakati anajisahau!Huyu mama kuna Muda anasahau kuwa yeye ni Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Huwezi kusema"Zanzibar yetu",jana tena kasema Ishu ya Maalim Sefu ni ya Wazanzibar,bila kujua kuwa Maalim alikua ni kiongozi wa Chama cha CUF na ACT ambavyo ni vyama vyenye sura ya Muungano.
Wasaidizi wamsaidie,apende kutumia maneno kama"ya wa Zanzibar na Tanzania kwa ujumla".
Au"ya waTanzani"...kuna siku alisema yeye ni Mzanzibari,bila kujua kuwa kujitambulisha kwa ukanda,udini,au ukabila si kitu kizuri.
Nilitaka niandike trash nikasema vita vya Wapare mi vinanihusu nini nikasepa kwenda kupasha moto makande yangu ...Rukia huna adabu[emoji28][emoji28]
[emoji35][emoji34][emoji35][emoji34][emoji34][emoji34][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]nitalipa kisasiNilitaka niandike trash nikasema vita vya Wapare mi vinanihusu nini nikasepa kwenda kupasha moto makande yangu ...
View attachment 2000878
Hahaha umempata mtanga au mpare wewe![emoji23]Omba sana uliyempenda awe pia anakupenda vinginevyo utaishia kuonekana msumbufu na boya tu!
Penda kwa kiasi na uache shobo kwenye maisha ya watu [emoji51]
View attachment 2000879
Tatizo wanapenda sana kusikia uongoIla ukisema ukweli tupu kwa mademu hutoboi Ostaadh...Yamenitokea!
View attachment 2000899
Acha hizo. Visasi ni vya Bwana![emoji35][emoji34][emoji35][emoji34][emoji34][emoji34][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]nitalipa kisasi
Nope. Hata kama Yesu Angeenda hospitalini Asingeweza kuwaponya wote. Wenye imani wangepona!
Sio wote wanashindwa jitunza sababu ya pesaa,kuna watu duniani wanaitwa 'they don't care' hawa ni hatarii. Ninajamaa wako vizuri kiuchumi mara kumi kwangu,ila ni wachafu(nimekosa lugha nzuri ya kutumia). Yaani kuanzia kula Yao,vaa yao,magari yao ndio usiombe upande. Kiukweli kujitunza kunaanzia ndani mwa mtu kuuona umuhimu huo.
Imagine kuna mtu anajisifia ajaoga siku 5?!
Nope. Hata kama Yesu Angeenda hospitalini Asingeweza kuwaponya wote. Wenye imani wangepona!
Na ukiachana na drama za akina Gwajiboi za kufufua wafu na kurudisha misukule, miujiza ya kweli ipo. Mimi mwenyewe ilishanitokea [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji23][emoji23][emoji23] tupo pamoja mkuu
Well said[emoji109]Nope. Hata kama Yesu Angeenda hospitalini Asingeweza kuwaponya wote. Wenye imani wangepona!
Na ukiachana na drama za akina Gwajiboi za kufufua wafu na kurudisha misukule, miujiza ya kweli ipo. Mimi mwenyewe ilishanitokea [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji1][emoji1]