Diwali n nn, naomba kueleweshwa[emoji18]
Ahsante kwa ufafanuzi..........
Wabeja ngole!Ahsante kwa ufafanuzi..........
Kumbeee,..........[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] n kwel asee, sema yapasa muishi nasi kwa akili.
Ukimwangalia mpinzani wako mara nyingi tunaangalia mapungufu yake tu[emoji26][emoji26][emoji848] n hicho tu alichokiona kwny tv jana.............
Miaka 75 ya umri lakini ukimwangalia kama andaeitini.
Huyo ni kufuta namba yake hapo hapo na kula block ya maana ...uko msibani yy anataka utume na ya kutoleaNi kukamuliwa tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1998795
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii nimecheka sana aisee,afu hao watu kwa kuwasema wenzao kwamba wanapenda kulala, wakati wao wamenunua mpaka mapajama kuonesha kwamba wapo serious na usingizi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]