Nkitokea pande hzo wataniona sna adabu, swez ongea na mtu bila kumuangalia usoni yana siwez hata baba yangu hapend uzngmze nae sura umeinamisha. Nmejikuta nmezoea hivyo
Angalia kwa makini mkuu.
Unaweza kuona shavu la mtoto, ameangalia kule kule alikoangalia baba yake.
Anzia kwenye sikio la mtoto, kisha nenda mbele kidogo kabla hujafikia pua ya baba.