Huyu jamaa kapeleka wap kichwa cha mtto 😳😳View attachment 1995593
Najaribu kusumbua kichwa changu ili kujua kichwa cha mtoto kilipo!
From hero to zero, mmh! Data za kupika huwa zinawaumbua wenyewe.
Hiyo ya kumfanyisha kazi kama kumfanya mlinzi wa shamba na kuwa ndiyo awe mkulima kwenye kiunga cha miogo kwa kifupi tunaiita 'mwana ukome'.Mdaiwa kama hana mali zinazofanana na deni lake mdai anaruhusiwa kumpa kazi za kufanya kwa muda maalum ambao mahakama itauridhia ili kufidia madeni ya muhusika.
Kwahiyo unaweza kumpeleka nyumbani kwako akaoshe vyombo, afagie nyumba, afue nguo za familia nk.
Ikiwa kazi za aina hiyo mathalani mshahara ni 300,000 kwa mwezi.
Zitapigwa hesabu kutokana na deni unalodai.
Atafanya mpaka hela anayodaiwa imalizike.
Kwa huyu mwanaharakati huru anaweza kujikuta kwenye mazingira hayo kama atashindwa kuwalipa Membe na Fatma Karume.
Tujitahidi kuheshimu watu hata kama mbele yako kuna Kigogo anayeweza kukulinda kwa wakati huo.
Maana sheria haina ulinzi wa kigogo
Mtoto Kalala kichwa lipo shingoni Kwa Baba. Kwa nyuma.View attachment 1995593
Najaribu kusumbua kichwa changu ili kujua kichwa cha mtoto kilipo!
Ahahahah acha tuu. Ndani ya ToyotaHii tunaiita 'shortcut'
Kila siku utakuwa unaota uko safarini na haufiki.
Mmmh ya an weweNi baunsa wa msanii gani?
Hiyo dress ya zipu, huwa inarahisisha mambo mazuri.

Wanafaida balaa,,ukimkuta maingine wala hakugawiiMalastiboni huwa na faida zao kumbe![]()

Daaah!!!
Mtamanisho huu