Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,750
- 182,846
Sie ambao sio warefu wala wafupi?Kila mmoja na vita vyake aisee!
View attachment 1994721
Sie ambao sio warefu wala wafupi?Kila mmoja na vita vyake aisee!
View attachment 1994721
Hebu msituharibie jioni yetu jamani[emoji57][emoji57][emoji57]Sijakupinga kwa sababu sijui mtunzi alikuwa na maana gani nyuma ya hilo swali; binafsi kama ndiyo pepa ningejibu 12 pia. Niliona tu google wasomi wakijadili juu ya option nyigine ambayo jibu linakuwa 18
Ukitumia formula ya Ax(namba ya juu)
9×10=90
8×9=72
7×8=56
6×7=42
3×6=18.
Wengine wakasimply tu hivi
9×10-(9×0)=90
8×10-(8×1)=72
7×10-(7×2)=56
6×10-(6×3)=42
3×10-(3×4)=18
Na wengine wakadai 3=3. Kwa sababu kimahesabu kila namba ni sawasawa na namba yenyewe binafsi. 9 haiwezi kuwa sawasawa na 90
Hata kama umemkuta bikra, bado hakuepukiki na ni jambo la kawaida tu.Wivu wa mapenzi [emoji706][emoji706][emoji706]. Just accept kuwa kuchapiwa hakuepukiki and live in peace. Umemkuta mtu siyo bikra halafu eti unategemea atakuwa wa peke yako kama siyo ujinga ni nini? Mtaua sana watoto wa watu [emoji51][emoji51]
View attachment 1994725
#KuchapiwaHakuepukiki
#KitandaHakizaiHaramu
#Kuchapiwanisiriyandani
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Hebu msituharibie jioni yetu jamani[emoji57][emoji57][emoji57]
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Kama ana akili atahakikisha simfumanii kwa sababu sitamfuatilia. Nikimfumania basi nitajua kuwa kafanya makusudi na siku hiyo hiyo itamlazimu afungashe vilivyo vyake aende kwao na sitataka kumsikia tena kamwe mbinguni na duniani!
Sisi acha tuwaze vyura[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wenzetu wanawaza "yasiyowezekana"
View attachment 1994740
Wametisha, niliona hesabu zilivyopigwa kwenye bullet-train huko[emoji627] yaani ni uchawi mtupu. Akili zao si za kawaida.Wenzetu wanawaza "yasiyowezekana"
View attachment 1994740
Wabongo wamenishinda tabia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1994774[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna vitu vinaamisha akili ya mwanaume kabisaa, imagine una drive kagari kako ka mkopo,unakutana na hii mambo inatembea kwa mguu,wanaume tuna huruma sanaaaa,sema AminaaaJizazi [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Kuanzia maumbo haya [emoji116][emoji116][emoji116]na kwenda juu itakuwa sawa. Ila naamini hawatakuwa vimbaumbau.
View attachment 1994739
Huwa hatushindwiiiHakuna kuelemewa. Hata tufyatue magoti sawa tu. Yutong forevaaa [emoji123][emoji123]
View attachment 1994676