Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,383
Eti mabikra 72.Ili ukawafanyaje mabikra?
Halafu hawamalizi ubikra...
Naitaka hiyo mbingu aisee



Eti mabikra 72.Ili ukawafanyaje mabikra?



Wivu wa mapenzi. Just accept kuwa kuchapiwa hakuepukiki and live in peace. Umemkuta mtu siyo bikra halafu eti unategemea atakuwa wa peke yako kama siyo ujinga ni nini? Mtaua sana watoto wa watu
View attachment 1994725
#KuchapiwaHakuepukiki
#KitandaHakizaiHaramu
#Kuchapiwanisiriyandani
Wanahisabati katika ubora wenu. Hujambo Mtumishi? Nakutakia mwezi mpya wenye mibaraka kwako na wapendwa wako. Nikumbuke kumbuke katika maombi na mifungo yako![]()
Kama ana akili atahakikisha simfumanii kwa sababu sitamfuatilia. Nikimfumania basi nitajua kuwa kafanya makusudi na siku hiyo hiyo itamlazimu afungashe vilivyo vyake aende kwao na sitataka kumsikia tena kamwe mbinguni na duniani!Ehh ndiyo, ukimfumania unamsamehe tu, maisha yanaendelea
Amen MtumishiAkhuu, nimecopy tu mawazo ya watu huko google jamani.
Amen Mtumishi, you are in my prayers always. Ukawe mwezi wa mipenyo kwako na uwapendao



Samehe 7x70 Mtumishi. Khaa unakuwaje na roho ngumu hivyo? Afu hakuna akili kwenye kuchepuka mbonaKama ana akili atahakikisha simfumanii kwa sababu sitamfuatilia. Nikimfumania basi nitajua kuwa kafanya makusudi na siku hiyo hiyo itamlazimu afungashe vilivyo vyake aende kwao na sitataka kumsikia tena kamwe mbinguni na duniani!
Afu wawe ma-yutong pia?Eti mabikra 72.
Halafu hawamalizi ubikra...
Naitaka hiyo mbingu aisee![]()


Ndoa itavunjika kwa sababu zifuatazo:Samehe 7x70 Mtumishi. Khaa unakuwaje na roho ngumu hivyo? Afu hakuna akili kwenye kuchepuka mbona
JizaziAfu wawe ma-yutong pia?![]()











na kwenda juu itakuwa sawa. Ila naamini hawatakuwa vimbaumbau.Ndoa itavunjika kwa sababu zifuatazo:
1. Kifo
2. Fumanizi (Uzinzi)
3. _________________
Jizazi
Kuanzia maumbo hayana kwenda juu itakuwa sawa. Ila naamini hawatakuwa vimbaumbau.
View attachment 1994739





Watu na heshima zao za JF bana
Kwa mabinti ni hatari kwetu majentromeni kwa sababu unaweza kuona ID mpya ukaiibukia PM kumbe pisi ulishawahi kuiimbisha tayari ukaishia kujichoresha tu...Ukiona ID mpya ya kike ni muhimu kuichunguza chunguza kwanza kabla hujazama PM....





Hebu njoo na ID mpya halafu nikuibukie PM. Sijui utanikataa tena dah!
Ikitokea hivyo basi hakikisha unaweka ndani kabisa maana ni match made in heaven hiyo!





Don't worry. All the gents will also be tall, dark and ripped. No short fatties!
Too bad; na wenyewe wana type zaoDon't worry. All the gents will also be tall, dark and ripped. No short fatties!
Mbingu best ni hii tuliyopo, zile za kuimba 24/7 au kulundikiwa bikra 72(sijui wanawake wanakabidhiwa mabaharia wapingapi wakifika pande hizo wanazuoni watufafanulie) ni za kuchoshana tu.Mbingu nzuri ni ile ya mabikra aisee. Hii ya kuimba na kuabudu milele na milele dah! Ila zote ni bora kuliko kuchomwa moto milele na milele. Mungu na Atusaidie tufikie mojawapo!
View attachment 1994719
Nilizifikiria options zote pia ila tu nikachagua hiyo regardless, challenge iko vague majibu tofauti yanaweza kuwa sahihi.Sijakupinga kwa sababu sijui mtunzi alikuwa na maana gani nyuma ya hilo swali; binafsi kama ndiyo pepa ningejibu 12 pia. Niliona tu google wasomi wakijadili juu ya option nyigine ambayo jibu linakuwa 18
Ukitumia formula ya Ax(namba ya juu)
9×10=90
8×9=72
7×8=56
6×7=42
3×6=18.
Wengine wakasimply tu hivi
9×10-(9×0)=90
8×10-(8×1)=72
7×10-(7×2)=56
6×10-(6×3)=42
3×10-(3×4)=18
Na wengine wakadai 3=3. Kwa sababu kimahesabu kila namba ni sawasawa na namba yenyewe binafsi. 9 haiwezi kuwa sawasawa na 90


Sitakukataa kabla sijakula nauli.Hebu njoo na ID mpya halafu nikuibukie PM. Sijui utanikataa tena dah!![]()



Haki akili zako!! Utafika motoni umechoka sanaaa.Mbingu nzuri ni ile ya mabikra aisee. Hii ya kuimba na kuabudu milele na milele dah! Ila zote ni bora kuliko kuchomwa moto milele na milele. Mungu na Atusaidie tufikie mojawapo!
View attachment 1994719
